UCL group stage draw

UCL group stage draw

Kipigo alichokipata Newcastle Utd dhidi ya Liverpool pungufu jumapili iliyopita kinatoa picha kamili ni nani aliyestahili kucheza Uefa msimu huu,, kwa England labda tutegemee bingwa mtetezi tu Man City hawa wengine sioni wa kuvuka group stage,,
 
Liver ana timu nzuri tatizo hana kikosi kipana. Akiandamwa na majeruhi kama msimu jana atapata tabu sana
 
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.

Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.

Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.

Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
Kwamba washika mtutu wa london wanapigiwa chapuo kubeba uefa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23]
Arsenal hii hii ninayoifahamu au kuna nyingine?.
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.

Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.

Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.

Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangu wa Arsenal group letu hilo .

Screenshot_20230831-195405.png
 
Back
Top Bottom