Messi hakuwa bora kuliko Haaland kwenye Uefa iliyopita.Muda ni hakimu mzuri ila itapendeza akipata huyo dogo ili kutoa hamasa kwa vijana wanaochipukia
Arsenal anarudi Europa LeagueArsenal tunangojea kwa hamu draw ni mda sana.
Arsenal anarudi Europa League
Liver ana timu nzuri tatizo hana kikosi kipana. Akiandamwa na majeruhi kama msimu jana atapata tabu sanaKipigo alichokipata Newcastle Utd dhidi ya Liverpool pungufu jumapili iliyopita kinatoa picha kamili ni nani aliyestahili kucheza Uefa msimu huu,, kwa England labda tutegemee bingwa mtetezi tu Man City hawa wengine sioni wa kuvuka group stage,,
Kwamba washika mtutu wa london wanapigiwa chapuo kubeba uefa [emoji3][emoji3][emoji3]Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.
Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.
Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.
Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
Hii tuzo si kwa ajili ya UCL peke yake inajumuisha na takwimu za kimataifa japo Haaland ana nafasi kubwa ya kunyakua.Messi hakuwa bora kuliko Haaland kwenye Uefa iliyopita.
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.
Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.
Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.
Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
Aseno hii hii ya kina bukqyo na juses mzee[emoji23][emoji23]
Arsenal hii hii ninayoifahamu au kuna nyingine?.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅Mauza uza yameanza man u kapewa wahunj bayern