bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 672
- Thread starter
-
- #41
Halaf kuna game ya madrid vs napoli, hii moto utawakaGroup F ni kisanga
Halaf kuna game ya madrid vs napoli, hii moto utawakaGroup F ni kisanga
Hatari sana ni motooo🔥🔥🔥🔥Halaf kuna game ya madrid vs napoli, hii moto utawaka
Kwamba Lens na PSV zinalingana uwezo na Sevilla na Arsenal?View attachment 2734857
Kundi la kifo ni F hadi muda huu na B timu nyingi zinalingana uwezo hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo group F namuona New castle akigombaniwa kama demu wa ngomani!
Kam mwanachuo aliefika kitaaHilo group F namuona New castle akigombaniwa kama demu wa ngomani!
[emoji23][emoji23]Kam mwanachuo aliefika kitaa
Man City bado ana kikosi kipana na bora Sana.Man u , arsenal na newcastle dah? Ngoja tuone. Japo mancity hapenyi hadi fainali.
Man city kwasasa wanahitaji mda wakuunda kikosi kazi ila kuja hatua ya makundi iishe watakuwa washajipata vyema na moto utawakaMan City bado ana kikosi kipana na bora Sana.
Kweli lakini kwa jinsi vilabu vilivyojipanga sioni kwa kweli. Ila ngoja tuoneMan City bado ana kikosi kipana na bora Sana.