Nilisema hapa watapata goliYes.
Navas kaokoa sana. Bayern watapata goli kabla ya HT. Sema hawana Ginabry mtumbad sana
Hawa hawakawii kukupiga mvua ya magoliTayari Bayern wamepata goli
Tayari 2 kwa 2.Hawa hawakawii kukupiga mvua ya magoli
Wamepigwa la 3 tayaribayern sio ya sayari hii, timeless muller!!
ndio nauguza mkuu, lakini tunarudisha!Wamepigwa la 3 tayari
PSG wameshinda kwa mbinde sana, marudiano wanaweza kuchapwa na hawa WajerumaniTayari 2 kwa 2.
Nawapa nafasi za ushindi PSG na Chelsea
hongera kwa kutabiri vyemaNawapa nafasi za ushindi PSG na Chelsea
Pole kwa maumivuChelsea wanafungwa
Endelea kuota ndugu, hao Bayern Munich safari yao imewadia.PSG wameshinda kwa mbinde sana, marudiano wanaweza kuchapwa na hawa Wajerumani
Tusubiri tarehe 15 April mkuuEndelea kuota ndugu, hao Bayern Munich safari yao imewadia.
hongera kwa kutabiri vyema
Liverpool itaifunga Real Madrid ambayo beki zake za muhimu kama Varane, Ramos hazipo.
Option waliyonayo leo ni Militao na Nacho pale beki ya kati. Leo Jota anaweza kupiga hat trick.
Ni Usiku wa Ulaya!
Hatua ya robo fainali inaanza leo. Ambapo leo michezo miwili itapigwa.
1. Man City Vs Dortmund
2. Real Madrid Vs Liverpool
Na kesho jumatano itapigwa michezo mingine miwili ya robo fainali ambapo ni;
1. Bayern Munich Vs PSG
2. Porto Vs Chelsea
View attachment 1745103
Baada ya hapo timu hizi zitarudiana ndani ya wiki zijazo na mshindi wa jumla (Aggregate) atafuzu kwa Nusu Fainali.
Tukutane hapahapa kwenye uzi huu kwa updates za mechi zote zaleo na za kesho, Usipitwe...
Kumbuka: Mechi zitaanza saa 4:00 usiku kwa saa za afrika ya mashariki
Tukianza na mechi za leo unampa nani nafasi? Karibuni....
Leo ni marudiano
PSG Vs Bayern Munich
Chelsea Vs Porto
Kwa wale wazee wa mikeka timu za nyumbani zipe ushindi leo
Ulipigwa za uso