UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

Ni Usiku wa Ulaya!

Hatua ya robo fainali inaanza leo. Ambapo leo michezo miwili itapigwa.
1. Man City Vs Dortmund
2. Real Madrid Vs Liverpool

Na kesho jumatano itapigwa michezo mingine miwili ya robo fainali ambapo ni;
1. Bayern Munich Vs PSG
2. Porto Vs Chelsea
View attachment 1745103


Baada ya hapo timu hizi zitarudiana ndani ya wiki zijazo na mshindi wa jumla (Aggregate) atafuzu kwa Nusu Fainali.

Tukutane hapahapa kwenye uzi huu kwa updates za mechi zote zaleo na za kesho, Usipitwe...

Kumbuka: Mechi zitaanza saa 4:00 usiku kwa saa za afrika ya mashariki

Tukianza na mechi za leo unampa nani nafasi? Karibuni....

Leo ni marudiano

PSG Vs Bayern Munich

Chelsea Vs Porto

Kwa wale wazee wa mikeka timu za nyumbani zipe ushindi leo
 
Back
Top Bottom