UCL kurudi spain

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,023
Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni tofauti na vilabu vya Uingereza ambavyo vimepoteza fainali nyingi dhidi ya team za spain. Kuanzia Arsenal 2006, Manu 2009, 2012, Liverpool 2018.

Na endapo Mancity itafuzu usiku wa leo, basi kuna nafasi kubwa ya kwenda mpaka fainali. Kwa upande mwingine karata yangu naiweka kwa Barcelona kuishinda liverpool nusu fainali hivyo hivyo kukutana na Mancity katika hatua hiyo ya mwisho.

Barca vs Mancity fainali UCL na Barca nawapa nafasi ya kunyanyua ndoo. Save this post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unapenda michezo sana hilo wala halina mjadala ila tatizo lako s MFUATILIAJI ungejua ratba ilivyo usingepost Uzi huu but hongerabkwa kupenda michezo hawa ndio huitwa mashabiki jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barcelona na liver hawawez kutana final,


Final ni liverpool vs man city

Man city anachukua ubingwa aaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chief, Liverpool akiingia fainali Barca atakuwa ameishia nusu fainali.
kukosea kwenye hii fact ndogo tu kunatosha kutia doa kwenye utabiri wako wa kuibeba Spain!
 
chief, Liverpool akiingia fainali Barca atakuwa ameishia nusu fainali.
kukosea kwenye hii fact ndogo tu kunatosha kutia doa kwenye utabiri wako wa kuibeba Spain!
Ni kweli kabisa, kumbukumbu zangu zilinionyesha Barca-Mancity/Juve, Ajax-Live/porto. Nimekosea, but the fact is Barca atabeba kombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unapenda michezo sana hilo wala halina mjadala ila tatizo lako s MFUATILIAJI ungejua ratba ilivyo usingepost Uzi huu but hongerabkwa kupenda michezo hawa ndio huitwa mashabiki jina

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaahh ni kweli usemalo, mambo mengi yanapunguza ufuatiliaji wa baadhi ya mambo ili kubalance... But miaka 5 nyuma hakuna mechi niliyokuwa nakosa kutizama EPL, LaLiga hivyo kwa sasa nimebaki mshabiki jina ila mwenye historia nzuri ya soka la nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barca hana jeuri ya kumfunga Liverpool.

Save this post..

Na ikitokea wakakutana halafu liverpool akafungwa na barca, Nakunya kwa mafungu hadi kwenye geti la Ikulu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool hawatafua dafu kwa Barca, sioni nafasi yao hata kidogo. Na kutoka kwa Mancity ndiyo kumeongeza chance ya Barca kubeba kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…