MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni tofauti na vilabu vya Uingereza ambavyo vimepoteza fainali nyingi dhidi ya team za spain. Kuanzia Arsenal 2006, Manu 2009, 2012, Liverpool 2018.
Na endapo Mancity itafuzu usiku wa leo, basi kuna nafasi kubwa ya kwenda mpaka fainali. Kwa upande mwingine karata yangu naiweka kwa Barcelona kuishinda liverpool nusu fainali hivyo hivyo kukutana na Mancity katika hatua hiyo ya mwisho.
Barca vs Mancity fainali UCL na Barca nawapa nafasi ya kunyanyua ndoo. Save this post.
Sent using Jamii Forums mobile app