Watakutana semi final endapo watashinda mechi zao.Nilitamani Barcelona akutane na Arsenal
Madrid amekuwa akipewa ma giant wakubwa wakati Barcelona anapewa madaraja ya kati.
Huyo Bayern naye namuogopa sana.
Luis Enrique una msikiaga kwenye redio tu 😆Barca
Liver
Arsenal
Bayern Munich
Semi finalist.
Wengine Bye Bye.
NB: PSG huu msimu hatoboi kwa Liver, najua watu mtapinga hapa, ila mtakuja baadae kuamini, na km atafanikiwa kuingia, bas kwa mbinde sana.
Siipendi Arsenal ila Barcelona siipendi zaidiWatakutana semi final endapo watashinda mechi zao.
Uko sahihiBarca
Liver
Arsenal
Bayern Munich
Semi finalist.
Wengine Bye Bye.
NB: PSG huu msimu hatoboi kwa Liver, najua watu mtapinga hapa, ila mtakuja baadae kuamini, na km atafanikiwa kuingia, bas kwa mbinde sana.
Mpira sio makalio kwamba yanaelezeka katikati yake Kuna toboPSG wataileza Liverpool walishinda vipi ile mechi ya msimu uliopita.
Lakini shughuli ya Barcelona na Atletico Madrid siyo ya kitoto.
Rafinha na Yamal watakula buti za kutosha kutoka kwa mabeki wa Atletico.
Vinginevyo kutokana namna Bayern wanavyocheza Madrid wajiandae kupigwa nje ndani.
Arsenal for life.Siipendi Arsenal ila Barcelona siipendi zaidi
Siku hiyo nitaisapoti Arsenal kwa wivu mkubwa sana.
Huu mwaka kila kombe letu.Arsenal for life.
Naam, tukizichanga karata vyema kombe lazima.Huu mwaka kila kombe letu.