UCL: Unampa nani nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali

Man Utd kapangiwa nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barca nampa nafasi vs Psg.. psg utoto mwingi bado
Man city nampa nafasi vs Borussia... City ukomavu wa michuano unambeba
Juventus nampa nafasi vs Porto... CR7 effect
Real madrid nampa nafasi vs Atalanta... Uzoefu
Leipzig mzuri lakini nampa LIverpool nafasi kwa sababu ya uzoefu.
Nampa Atletico nafasi vs Chelsea... Technically wapo vizuri
Bayern vs Lazio... Bayern anapita comfortably
Sevilla vs Dortmund... Nampa nafasi Dortmund kulingana na aina ya wachezaji aliyonao wanaweza kuamua jambo.
 
Vyovyote itakavyokuwa fainali itakuwa timu za uingereza zote,mark my word!.buyern,Madrid,A.Madrid wote watatolewa kwenye round hii,round hii ndio huwa ina maajabu tofauti na watu wanavyotegemea.
 
UCL kama uonevu yaani England timu 3, Spain 4,Germany 4 and Italy 4 wabishi ni Porto tu ya Portugal na PSG ya Ufaransa ambao wataaga wote next round japo namashaka na Barca tia maji tia maji.
 
UCL kama uonevu yaani England timu 3, Spain 4,Germany 4 and Italy 4 wabishi ni Porto tu ya Portugal na PSG ya Ufaransa ambao wataaga wote next round japo namashaka na Barca tia maji tia maji.
UEFA mwaka huu ni ya manyuu mkuu[emoji18]
niamini mimi
 
Vyovyote itakavyokuwa fainali itakuwa timu za uingereza zote,mark my word!.buyern,Madrid,A.Madrid wote watatolewa kwenye round hii,round hii ndio huwa ina maajabu tofauti na watu wanavyotegemea.

Ila watu wanampa nafasi kubwa Bayern lakini anaweza akatolewa mapema akashangaza watu huku akichana mikeka
 
Kuna mtu nimetoka kumwambia kama ww jogoo na chelsea hawatoboi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…