Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Mechi hizo ni hadi February katikati...Inategemea kama kikosi cha Liverpool kikirudi kwenye utimamu wake..yaani wachezaji wasiwe na effect za majeruhi basis watashinda..lakini huwezi jua kama mchezaji akitoka injury atarejea kwenye utimamu wake( wachezaji hawatabiriki baada ya injury ) ikiwa hivyo wanakula kipigo heavy.Kuna mtu nimetoka kumwambia kama ww jogoo na chelsea hawatoboi hapo.
Chelsea hatoki...El Cholo ana experience na mashindano haya kuliko Lampard...Two lost finals vs Real Madrid kwenye ubora wao...One Europa Cup...Lampard atapata tabu sana kwani hizi ni game za kimbinu zaidi kwa maana ni za mtoano na si Ligi.