UCL: Unampa nani nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali

Kuna mtu nimetoka kumwambia kama ww jogoo na chelsea hawatoboi hapo.
Mechi hizo ni hadi February katikati...Inategemea kama kikosi cha Liverpool kikirudi kwenye utimamu wake..yaani wachezaji wasiwe na effect za majeruhi basis watashinda..lakini huwezi jua kama mchezaji akitoka injury atarejea kwenye utimamu wake( wachezaji hawatabiriki baada ya injury ) ikiwa hivyo wanakula kipigo heavy.

Chelsea hatoki...El Cholo ana experience na mashindano haya kuliko Lampard...Two lost finals vs Real Madrid kwenye ubora wao...One Europa Cup...Lampard atapata tabu sana kwani hizi ni game za kimbinu zaidi kwa maana ni za mtoano na si Ligi.
 
UCL kama uonevu yaani England timu 3, Spain 4,Germany 4 and Italy 4 wabishi ni Porto tu ya Portugal na PSG ya Ufaransa ambao wataaga wote next round japo namashaka na Barca tia maji tia maji.
Bila kutolewa man u basi England zingekuwa nne. Na hapo kwa Italy umekosea Italy zipo timu tatu tu, Intermilan kashindwa kufuzu
 
Kila Kona Chelsea mnaichukuloa poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…