Udadavuzi huru: Kuna ukakasi kwenye Taarifa ya Polisi juu ukamatwaji wa nondo, ama Nondo au Polisi kuna muongo

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Hii scene ilipangwa tu

1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani

2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake

3. ⁠Inatoka report ya polis aina ya plate number wanazotaja ni tofauti na Plate number zinazotajwa na wananchi japo zote feki,

4. ⁠Gari lililomteka likaonekana limepaki sehemu kabisa baada ya tukio tofauti na matukio ya utekaji yaliyopita! Yaan wazi wazi ili sign ionekane liko polisi Gogoni

5. ⁠Anapatikana usiku anaomba boda boda imfikishe kwenye makao makuu ya chama kwanini hakuna hata shahidi Aloona anatupwa pale usiku?

6. ⁠Je kwanini viongozi wa chama wawe ofisi usiku kabisa wakisubiria atakapo rejeshwa akodi piki piki ndo wampokee? Au walioteshwa?

7. ⁠ kabisa Taarifa za anayesema aliletwa na bajaji Lakin Polisi wanasema ni boda boda ilimpeleka makao ya chama !
Any away utekaji si mzuri tuzuie kwa namna yeyote ile

Polisi wameendelea kusisitiza kupitia kila taarifa waliyoitoa kwamba Amekamatwa kwa nguvu.

Kwa sisi wamachinga tunaoffanya shughuli zetu hapa Magufuli bust stand tunajua vizuri sana kwamba eneo hili lia ulinzi madhubuti. Hapa mtu hawezi akatekwa, kama ilivyofanyika halafu watekaji waka get awaywith it.

Polisi wapo sahihi, wanaposema alikamatwa kwa nguvu na watu wasiojulikana" inawezekana ilikuwa ni Taskforce Operation (With Police Stand-Down), hivyo Polisi walitaarifiwa lakini hawakutakiwa kuingilia.

Ndiyo maana kila walipotoa taarifa yao waliendelea kuuhabarisha umma kwamba "Amekamatwa kwa nguvu"
ingawa hawajui mkamataji ni nani. Kuna wakati Polisi hulazimika kupokea maagizo na kuyatekeleza pasipo kuhoji.

Kuna level Askari ni mpelelezi, anauliza maswali, anaumiza kichwa kufikiri ili kupata majibu, kuna levels askari akitaka kuchangia ku comment na kufanya reasoning na ku make sense huambiwa "a soldier is hired to act not to think"

Kwenye hoja ya kupangwa kwa hii scene. Hili ni mbaya sana, huku ni kujaribu kuizoesha jamii ikubalianena mambo ya hovyo. Kuna watu wametekwa na wameenda mazima, hadi leo hatujui walipo. Kuna waliotekwa wakapatikana wakiwa na hali mbaya, na kuna waliotekwa wakaja kupatikana wamepoteza maisha.

Sasa kinapojitokeza kikundi kutaka kuizoesha nchi ione matukio haya ni ya kawaida, hawa jakika siyo watu wanaostahili heshima, heri wala jema lolote
 
ingawa hawajui mkamataji ni nani.
Kuna wakati Polisi hulazimika kupokea maagizo na kuyatekeleza pasipo kuhoji.

Kuna level Askari ni mpelelezi, anauliza maswali, anaumiza kichwa kufikiri ili kupata majibu, kuna levels askari akitaka kuchangia ku comment na kufanya reasoning na ku make sense huambiwa "a soldier is hired to act not to think"
Kwenye hoja ya kupangwa kwa hii scene. Hili ni mbaya sana, huku ni kujaribu kuizoesha jamii ikubalianena mambo ya hovyo. Kuna watu wametekwa na wameenda mazima, hadi leo hatujui walipo. Kuna waliotekwa wakapatikana wakiwa na hali mbaya, na kuna waliotekwa wakaja kupatikana wamepoteza maisha.

Sasa kinapojitokeza kikundi kutaka kuizoesha nchi ione matukio haya ni ya kawaida, hawa jakika siyo watu wanaostahili heshima, heri wala jema lolote
Hata Ole Sendeka alishambuliwa kwa risasi na wasiojulika na hakuna uchunguzi wala kesi....balace,hahaha
 
Enzi za nyuma, Abdul Nondo aliwahi kuambiwa amejiteka.
 
Chanzo cha haya yote ni polisi kutotimiza majukumu yao ya msingi. Hakuna kingine.
 
Pia katika yote hadi huko Aga Khan hakuna cha picha wala video. Hii inaacha maswali. Kwamba kuna aliyewazuia wasipige picha?
 
Wamesema katupwa akiwa katika hali mbaya, sasa kwa nini wasamalia wema walimpeleka kwanza makao makuu ya chama badala ya kumpeleka hospitali?
Alienda kuchukua kadi yake ya bima ya afya ofisini ili asisumbuliwe kule hospitali.
 
Hii tabia ya baadhi ya watu labda wanachama au mashabiki wa vyama fulani fulani kujiona wao ndiyo wapinzani halisi na wengine wote ni fake nalo ni tatizo,inawezekana wewe shabiki unayeona chama chako ndiyo wapinzani halisi viongozi wako wakikusikia wanaenda kuchekea chooni.
 
Hii scene ilipangwa tu

1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani

2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake

3. ⁠Inatoka report ya polis aina ya plate number wanazotaja ni tofauti na Plate number zinazotajwa na wananchi japo zote feki,

4. ⁠Gari lililomteka likaonekana limepaki sehemu kabisa baada ya tukio tofauti na matukio ya utekaji yaliyopita! Yaan wazi wazi ili sign ionekane liko polisi Gogoni

5. ⁠Anapatikana usiku anaomba boda boda imfikishe kwenye makao makuu ya chama kwanini hakuna hata shahidi Aloona anatupwa pale usiku?

6. ⁠Je kwanini viongozi wa chama wawe ofisi usiku kabisa wakisubiria atakapo rejeshwa akodi piki piki ndo wampokee? Au walioteshwa?

7. ⁠ kabisa Taarifa za anayesema aliletwa na bajaji Lakin Polisi wanasema ni boda boda ilimpeleka makao ya chama !
Any away utekaji si mzuri tuzuie kwa namna yeyote ile

Polisi wameendelea kusisitiza kupitia kila taarifa waliyoitoa kwamba Amekamatwa kwa nguvu.

Kwa sisi wamachinga tunaoffanya shughuli zetu hapa Magufuli bust stand tunajua vizuri sana kwamba eneo hili lia ulinzi madhubuti. Hapa mtu hawezi akatekwa, kama ilivyofanyika halafu watekaji waka get awaywith it.

Polisi wapo sahihi, wanaposema alikamatwa kwa nguvu na watu wasiojulikana" inawezekana ilikuwa ni Taskforce Operation (With Police Stand-Down), hivyo Polisi walitaarifiwa lakini hawakutakiwa kuingilia.

Ndiyo maana kila walipotoa taarifa yao waliendelea kuuhabarisha umma kwamba "Amekamatwa kwa nguvu"
ingawa hawajui mkamataji ni nani. Kuna wakati Polisi hulazimika kupokea maagizo na kuyatekeleza pasipo kuhoji.

Kuna level Askari ni mpelelezi, anauliza maswali, anaumiza kichwa kufikiri ili kupata majibu, kuna levels askari akitaka kuchangia ku comment na kufanya reasoning na ku make sense huambiwa "a soldier is hired to act not to think"

Kwenye hoja ya kupangwa kwa hii scene. Hili ni mbaya sana, huku ni kujaribu kuizoesha jamii ikubalianena mambo ya hovyo. Kuna watu wametekwa na wameenda mazima, hadi leo hatujui walipo. Kuna waliotekwa wakapatikana wakiwa na hali mbaya, na kuna waliotekwa wakaja kupatikana wamepoteza maisha.

Sasa kinapojitokeza kikundi kutaka kuizoesha nchi ione matukio haya ni ya kawaida, hawa jakika siyo watu wanaostahili heshima, heri wala jema lolote
Huu mtego nahisi wananasa polisi na hao wwlioshiriki ku act
 
Kuna kikundi behind the scene chenye uchu wa madaraka ndicho kinachoratibu mipango yote hii.. Kiliwahi kuisumbua sn hata awamu ya tano sasa kinadili na Kizimkazi Empire mpaka aachie ngazi .. lengo kupigania madaraka ili kumege keki ya taifa.
 
Hii scene ilipangwa tu

1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani

2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake

3. ⁠Inatoka report ya polis aina ya plate number wanazotaja ni tofauti na Plate number zinazotajwa na wananchi japo zote feki,

4. ⁠Gari lililomteka likaonekana limepaki sehemu kabisa baada ya tukio tofauti na matukio ya utekaji yaliyopita! Yaan wazi wazi ili sign ionekane liko polisi Gogoni

5. ⁠Anapatikana usiku anaomba boda boda imfikishe kwenye makao makuu ya chama kwanini hakuna hata shahidi Aloona anatupwa pale usiku?

6. ⁠Je kwanini viongozi wa chama wawe ofisi usiku kabisa wakisubiria atakapo rejeshwa akodi piki piki ndo wampokee? Au walioteshwa?

7. ⁠ kabisa Taarifa za anayesema aliletwa na bajaji Lakin Polisi wanasema ni boda boda ilimpeleka makao ya chama !
Any away utekaji si mzuri tuzuie kwa namna yeyote ile

Polisi wameendelea kusisitiza kupitia kila taarifa waliyoitoa kwamba Amekamatwa kwa nguvu.

Kwa sisi wamachinga tunaoffanya shughuli zetu hapa Magufuli bust stand tunajua vizuri sana kwamba eneo hili lia ulinzi madhubuti. Hapa mtu hawezi akatekwa, kama ilivyofanyika halafu watekaji waka get awaywith it.

Polisi wapo sahihi, wanaposema alikamatwa kwa nguvu na watu wasiojulikana" inawezekana ilikuwa ni Taskforce Operation (With Police Stand-Down), hivyo Polisi walitaarifiwa lakini hawakutakiwa kuingilia.

Ndiyo maana kila walipotoa taarifa yao waliendelea kuuhabarisha umma kwamba "Amekamatwa kwa nguvu"
ingawa hawajui mkamataji ni nani. Kuna wakati Polisi hulazimika kupokea maagizo na kuyatekeleza pasipo kuhoji.

Kuna level Askari ni mpelelezi, anauliza maswali, anaumiza kichwa kufikiri ili kupata majibu, kuna levels askari akitaka kuchangia ku comment na kufanya reasoning na ku make sense huambiwa "a soldier is hired to act not to think"

Kwenye hoja ya kupangwa kwa hii scene. Hili ni mbaya sana, huku ni kujaribu kuizoesha jamii ikubalianena mambo ya hovyo. Kuna watu wametekwa na wameenda mazima, hadi leo hatujui walipo. Kuna waliotekwa wakapatikana wakiwa na hali mbaya, na kuna waliotekwa wakaja kupatikana wamepoteza maisha.

Sasa kinapojitokeza kikundi kutaka kuizoesha nchi ione matukio haya ni ya kawaida, hawa jakika siyo watu wanaostahili heshima, heri wala jema lolote
Sasa tangu lini maelezo ya polisi kuhusu watu wasiojulikana yakawa yamenyooka au imekusashangaza kisa katekwa nondo?
Kuanzia kwa manji, kuja kwa sativa, ally kibao hata kwa bonge lini umesikia maelezo ya polisi yakawa sawa na walioshuhudia na uongozi wa chama?
 
Wamesema katupwa akiwa katika hali mbaya, sasa kwa nini wasamalia wema walimpeleka kwanza makao makuu ya chama badala ya kumpeleka hospitali?
Nondo ameeleza mpaka alivyoweza kusimamisha boda boda na kwenda ofisini kuonana na viongozi wake , sababu hakuna namba hata moja alikuwa anakumbuka kuipiga kusema yuko wapi na hiyo saa tano alikuwa na uhakika wa kukuta viongozi ofisini akakodisha boda kusafiiri parefu hapo

Coco beach ni barabara ina magari ya kutosha tu

Mpaka sasa Nondo ajasema alikuwa wapi alipotekwa na alitekwa vipi na hayo sio masuala muhimu kwa polisi kujulisha umma

Pale coco alitupwa wapi pasipo na nyumba au ofisi upande wa pili? Ya kutembea na kwenda kuomba msaada ?

Kuna kiongozi mmoja wa Chama ana nyumba Masaki na Nondo anapajua kwake
 
Back
Top Bottom