Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania ukitaka kuamini hayo muulize hata SHIMBA YA BUYENZE au ngosha wa mwanza
Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina yake ukiliwa na mboga za asili kama vile kibambala na mlenda au ukiambatana na maziwa mgando (malibhoto) kwa lugha ya kisukuma.
Bujibuji Siku ukitembea tena usukumani omba ugali wa udaga wao waswahili huuta ugali wa muhogo.