Udahili kabla ya matokeo ya ASCEE

Udahili kabla ya matokeo ya ASCEE

Ali Muhammad

Member
Joined
Feb 22, 2021
Posts
5
Reaction score
3
Wakuu naomba kuulizaa je Kuna uwezekano wa kufanya udahili kabla matokeo naona tcu wameandika kuwa dirisha la udahili linafunguliwa tarehe 13 June.
 
Labda ni kuwapa fursa wale wa miaka iliyopita kutumia mini-window kutuma maombi.
 
Back
Top Bottom