Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine kuna lingine limenisikitisha swala la kupimwa kama wewe ni mzima au umeshachakachuliwa sehemu zako za nyuma kama ni mtoto wa kiume aisee hili linahusiana vipi na kufanya kazi za uaskari magereza?? Nahisi ni aibu kubwa sana
Wanaogopa isijetokea mtu akaitwa "aunt mzafaru" badala ya "afande mzafaru" afu imagine lile gwaride la miaka hamsini na shenzi pale uwanja wa taifa, afande anapita mbele ya raisi anakatikakatika! !
Wanaogopa isijetokea mtu akaitwa "aunt mzafaru" badala ya "afande mzafaru" afu imagine lile gwaride la miaka hamsini na shenzi pale uwanja wa taifa, afande anapita mbele ya raisi anakatikakatika! !
Kipimo hicho ni muhimu kwani atutaki Mashoga kwenye jeshi,Ebu fikiri one day umekuwa mkuu wa gereza alafu una basha mfungwa itakuwaje?
Mbona hilo lipo karibuni majeshi yote duniani. Pole. Vipi lakini umepass hicho kipengere au?
Hicho kipimo ni cha kawaida sana, wakikuta huna "nywele"huko nyuma uko hatarini
Inatia kinyaa anapita mjeda na tena siku hizi wapo mitaani tunaishi nao kisha jamaa wanakuambia aiseeee jamaa chakula ya watu!!!!!
Inajenga picha mbaya sana na jeshi lolote kashfa kama hiyo ikifika na kuthibitishwa kama ni kweli adhabu yake ni kufukuzwa kazi kwa fedheha kwa kulidhalilisha jeshi.
mkuu sidhani kama uko sahihi ina maana wanaozinyoa ni *******? nahisi kwa yule aliyesema wanakupima kwa kukohoa nahisi ndio sahihi kipimo tosha swala la nywele nahisi wengi huwa tunanyoa kila wiki tuna vipara kabisa maana ni moja ya uchafu ukikaa nayo muda mrefu.