UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 173
Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine kuna lingine limenisikitisha swala la kupimwa kama wewe ni mzima au umeshachakachuliwa sehemu zako za nyuma kama ni mtoto wa kiume aisee hili linahusiana vipi na kufanya kazi za uaskari magereza?? Nahisi ni aibu kubwa sana