sijaelewa lengo lako halafu hapo kwenye red pafanyie kazi asanteInasemekana kuwa mwaka huu 2013/2014 hakuna udaili kupitia vyuoni hata wale wenye diploma zisizo za NECTA na wakati baadhi ya vyuo tiari vimeshaweka aplication form
necta hawatoi diploma zaidi ya ualimu
pia ni udahili sio udaili
sijaelewa lengo lako halafu hapo kwenye red pafanyie kazi asante
necta hawatoi diploma zaidi ya ualimu
pia ni udahili sio udaili
hapo sawa nina imani ukifanya tena mtihani wa form four utapata walau four ya 27Asante, nimepafanyia kazi na swali limeeleweka.
Ngoja ntarudi
kama umefeli nenda 2 udom koz huko ndio nyumba ya vilaza hapa nchin
Kama umefeli nenda 2 UDOM koz huko ndio nyumba ya vilaza hapa nchin
UDOM nacho ni chuo kikuu????????????Udom????wewe umesoma chuo gani labda????mbona mnadharau msivyoviweza.
UDOM nacho ni chuo kikuu????????????