Udaili wa elimu ya juu mwaka 2013/2014

Udaili wa elimu ya juu mwaka 2013/2014

Kinywele1

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Inasemekana kuwa mwaka huu 2013/2014 hakuna udahili kupitia vyuoni, wakati baadhi ya vyuo vimeshaweka aplication form, je inakuwaje hapo? naomba msaada wenu tafadhali.
 
necta hawatoi diploma zaidi ya ualimu
pia ni udahili sio udaili
 
Inasemekana kuwa mwaka huu 2013/2014 hakuna udaili kupitia vyuoni hata wale wenye diploma zisizo za NECTA na wakati baadhi ya vyuo tiari vimeshaweka aplication form
sijaelewa lengo lako halafu hapo kwenye red pafanyie kazi asante
 
Wezi hao. Maombi yote ni TCU, nafasi ni nyingi kuliko wanafunzi. Labda ukose sifa
 
Kama umefeli nenda 2 UDOM koz huko ndio nyumba ya vilaza hapa nchin
 
kama umefeli nenda 2 udom koz huko ndio nyumba ya vilaza hapa nchin

sishangai kwanini tanzania hatuendelei, unadharau chuo ambacho kinawahitumu wanaokutibu, kukufundishia watoto na huduma nyinginezo nyingi ambazo unazihitaji. Nafikiri ingekuwa busara zaidi kutoa ushauri wako jinsi ya kukiimarisha!
 
Back
Top Bottom