mkuu inabidi wananchi tupige kura...maana hata sisi huku Mbezi tunautaka...tunajua ukihamia huku mwaka mzima FULL kuwa na kibaridi kama cha MACHAME, ROMBO na MARANGU!!!
Hapana... Ukonga ndo kwenyewe.... Tena tunataka tuandamane ili na hiyo gesi iletwe huku waachane na Wakina Nnjombaa nnjomba... Ikiwezekana hata bandari pia... Meli zitulie mizigo gongo la mbotooo
inaendelea.....za reo reo: The secretary alimwa talaka,ni baaa ya kumzuia bishanga kwenda white party,baada ya taarifa hizi kuvuja amu Paloma Evelyn Salt na Arabela waanza kujigonga kwa bishanga,PM kedekede za mahaba zajaza inbox ya bishanga,bishanga awachunia.

hahaha duh huu udaku noma
Jamani nmepotea njia mwenzenu nimeingia anga Za wenyeanga embu nshikeni fimbo mnirudishe jukwaa langu la stress .. Nipate update Za kikao Cha CDM Diamond jubilee Na mavituvitu bin sarakasi Za magesi ya Mtwara .. Huku siko ..!