UDAKU PLUS PLUS: MLIMA KILIMANJARO kuhamishiwa DAR!!!!

watu8 ukiwa na imani kiasi cha punje ya haradali utauambia mlima kilimanjaro ng'oka uhamie dalisilama nao utang'oka..

ndio, hata katika uhamishaji ni mapadre na maustadhi ndo watafanya hiyo....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah
Aisee nisamehe kumbe si kukuaga! Oooh yan,yan inaelekea ulikuwa busy kwenye sebene!
We hatari sana!




thitakiiii...........hukuniaga....! uliondoka na nani siku ilee???? ulienda gesti gani?
 
Mleta mada si bure unweza kuta unaongelea masasi ushapulizwa bomu la machoz au
umesahau kuwa
Gogo halisukumwi kwa mkojo!!
 

kwan saa hz ni saa ngap mpwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…