Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

We mwandishi wewe umenichekesha nitamwambia boss wako akupandshe cheo kazi unaweza.
 
kiwatengu umetisha mkuu,,gazeti lazima tuuze sana hasa ishu ya lara 1 na ile ya Mom Fay,hahaaaaaaa,,inasemekana yule mzee wa vipimo kile kipimo cha #mm ulikuwa ndio urefu wa Dar mpaka Moro,si unajua shake well before use,basi bibie Vaislay kashtuka,mateso ya nini!!
 
Last edited by a moderator:
Njoo huku pembeni tusemezane, lakini umenisingizia ujue huu mchepuko niliupinga sana wakalazimisha me sijahusika chochote.

kwani si,kunakuhusika kwa aina nyingi..
kama uliona na ukaupinga ndiyo kuhusika kwenyewe huko...
kumbuka kuna uhusika positive na negative...
measure ur self from there...
 

mzee wa S.I unit akaamua kurudi na mirejesho mtungo...
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu hapana ni kimya kimya. Mke atapoteaje miaka mitano na ategemee mimi niendelee kusubiri tuu. Hata salam hakuna na wala hajui mimi naishije wala hajui napata haki yangu vipi. Ndo maana talaka ni kimya kimya hapo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kazi iko hapo kwa aliyemwangusha paroko,, inasemekana mapenz yao yalikolea hadharan huko JF group hapo mtumishi wa Mungu paroko akashindwa kuhimili mihemko ya mwili na kujikuta akisaliti utumishi na kuangukia kwenye penzi la mwanadada Valentina

Wewe nitakuundia tume....
 
kiwatengu hapana ni kimya kimya. Mke atapoteaje miaka mitano na ategemee mimi niendelee kusubiri tuu. Hata salam hakuna na wala hajui mimi naishije wala hajui napata haki yangu vipi. Ndo maana talaka ni kimya kimya hapo mkuu

ila itabidi uweke mambo wazi, wale wanaouweza uvumilivu wakamate fursa....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…