janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Nimeishia tu kucheka ntarudi badae....kweli huu ni udakuz lol
Kama Mimi vile, huyu tumfanyizie we unaonaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeishia tu kucheka ntarudi badae....kweli huu ni udakuz lol
Kama Mimi vile, huyu tumfanyizie we unaonaje?
nimefuzu mafunzo kwa ustadi wa kutosha...
Njoo huku pembeni tusemezane, lakini umenisingizia ujue huu mchepuko niliupinga sana wakalazimisha me sijahusika chochote.
kiwatengu mimi na miss chagga hatukukutana barabarani bana ila Ntuzu na mwallu ndo wanaleta fujo
Nampenda sana sana miss chagga bana
ha ha ha asante kwa kuishibisha habari..
kiwatengu mimi na miss chagga hatukukutana barabarani bana ila ntuzu na mwallu ndo wanaleta fujo
nampenda sana sana miss chagga bana
Kuna jamaa hapo juu kaishibisha habari inayokuhusu..
Kitu cha evidence..
Kazi iko hapo kwa aliyemwangusha paroko,, inasemekana mapenz yao yalikolea hadharan huko JF group hapo mtumishi wa Mungu paroko akashindwa kuhimili mihemko ya mwili na kujikuta akisaliti utumishi na kuangukia kwenye penzi la mwanadada Valentina
kiwatengu hapana ni kimya kimya. Mke atapoteaje miaka mitano na ategemee mimi niendelee kusubiri tuu. Hata salam hakuna na wala hajui mimi naishije wala hajui napata haki yangu vipi. Ndo maana talaka ni kimya kimya hapo mkuu