kiwatengu fursa ziko wazi kwa yeyote bana mi hapo nishanawa mikono sina mpango tena mimi na miss chagga bana love you sana miss chagga
kiwatengu mimi na miss chagga hatukukutana barabarani bana ila Ntuzu na mwallu ndo wanaleta fujo
Nampenda sana sana miss chagga bana
mkuu ni vyemA sasa mkafanya mbadilishano...
Kua makini Mkuu!