mwallu nini tena aise
Sasa kama mke amepotea miaka mitano mizima mimi nifanyeje hapa
Si lazima nitafute mbadala wake
Na ndo maana miss chagga yupo bana kuziba upweke wangu
nitakushirikisha vyema kwenye the coming edition...
hilo la kwanza...
la pili unahabari kuwa miss chagga ni mke wa mtu?
Hahahaaaa... amna kitu kaka, nimejaribu tu kukuiga apo, Uandishi wako ni sisimshi na chekeshi sana, and inteligently presented. Ngoja nikafanye reference check ya Dena Amsi kwanza.
hilo la kwanza...
la pili unahabari kuwa miss chagga ni mke wa mtu?
1. Kigogo anayebembeleza penzi la Rapunzel umemsahau kabisa?
Inasemekana ni kaka wa damu wa Kongosho!
Kaizer KakaKiiza Vin Diesel watu8 Nicas Mtei na Paw wahusishwa na tycoon huyo!
mwekundu ajitetea kusema, ingekuwa ni safari za Dar-Moro, Dar-Moshi basi angehusika maana hajawahi kutoka nje ya nchi hii.
Mwalimu snowhite alionekana chobingo akimchombeza walau awe mchepuko!!!
2. Heaven on Earth sawa kuwa jimbo huru. Nafasi za kutuma maombi zitatangazwa hivi punde
3. C6 alias Joe Nyandigira atokwa jasho kutaka kulivunja penzi thabiti la mwallu na Mentor. Akumbana na mtihani mgumu. Ni baada ya kugundua hawakufahamiana JF pekee.
4. masai dada sasa ndiye miss JF 2014/2015. Apita bila ushindani. Msiulize shindano lilifanyika lini.
5. Asprin hati hati kuachwa na mchepuko wake @khatwe. Habari kamili ni siri ya mwandishi.
6. Mtambuzi sasa azidi kuzeeka. Hayo yalithibitika hivi majuzi baada ya kulala chumba kimoja na mrembo (air hostess wa kampuni kubwa ya ndege) wa Kikenya bila kufanikiwa kumgusa hata upindo wa vazi lake.
7. 7 5 mm ataka kurusha ndoano kwa snowhite. Habari kamili, toleo lijalo.
8. ...
mwambie mume wangu mapenzi ni kama dala dala ukishuka wenzio wanapanda aiii sijitii mateso mie
Mentor apo kwa masai dada apo..mdogo mdogo
to my shansarie not..
she is my permanent seat...