Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Appreciated Bro, Hongera kwa ubunifu. Nimekuwa nakusoma sana, You are always trying ahead, keeping things outside the normal thinking box. always on the creative angle of things. Nakukubali sana Mkubwa kiwatengu
nitakushirikisha vyema kwenye the coming edition...
 
Last edited by a moderator:
Appreciated Bro, Hongera kwa ubunifu. Nimekuwa nakusoma sana, You are always trying ahead, keeping things outside the normal thinking box. always on the creative angle of things. Nakukubali sana Mkubwa kiwatengu

thank you sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha ule wimbo wa akina Ntuzu FM academia ''wivu sina ila Roho inauma''
kiwatengu huyo unayemsemea nae kaachwa solemba mika kadhaa sasa na yeye ni lazima atafute sehem bana Tized usiwe na wasi wasi mkuu sirudi tena japo roho inaniuma aise
 
Last edited by a moderator:
1. Kigogo anayebembeleza penzi la Rapunzel umemsahau kabisa?

Inasemekana ni kaka wa damu wa Kongosho!
Kaizer KakaKiiza Vin Diesel watu8 Nicas Mtei na Paw wahusishwa na tycoon huyo!
mwekundu ajitetea kusema, ingekuwa ni safari za Dar-Moro, Dar-Moshi basi angehusika maana hajawahi kutoka nje ya nchi hii.

Mwalimu snowhite alionekana chobingo akimchombeza walau awe mchepuko!!!

2. Heaven on Earth sawa kuwa jimbo huru. Nafasi za kutuma maombi zitatangazwa hivi punde

3. C6 alias Joe Nyandigira atokwa jasho kutaka kulivunja penzi thabiti la mwallu na Mentor. Akumbana na mtihani mgumu. Ni baada ya kugundua hawakufahamiana JF pekee.

4. masai dada sasa ndiye miss JF 2014/2015. Apita bila ushindani. Msiulize shindano lilifanyika lini.

5. Asprin hati hati kuachwa na mchepuko wake Khantwe. Habari kamili ni siri ya mwandishi.

6. Mtambuzi sasa azidi kuzeeka. Hayo yalithibitika hivi majuzi baada ya kulala chumba kimoja na mrembo (air hostess wa kampuni kubwa ya ndege) wa Kikenya bila kufanikiwa kumgusa hata upindo wa vazi lake.

7. 7 5 mm ataka kurusha ndoano kwa snowhite. Habari kamili, toleo lijalo.

8. Baada ya kumfilisi Money Stunna, badiebey sasa aje kivingine. Asaka ndoa kwa udi na uvumba. Udaku ulimfuma kwa mganga wa kienyeji. Yaliyokuwa yakifanyika yamo kapuni.

9. 'Wanasema nirudi Igunga, maisha yashanishinda na mimi nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa na jiji la Dar' Yule mwanamama mkali wa jiji la JF aliyekuwa akivuma hapa, gfsonwin, hatimaye ashindwa kwenda na biti la wimbo wa mwanadada Shilole.."...maisha yamemshinda, amerudi kijiijini Machame.." Akutwa akipalilia magimbi na mwanaye Asnam. Asema, 'Kama unataka mali, utaipata shambani'

10.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu huyo unayemsemea nae kaachwa solemba mika kadhaa sasa na yeye ni lazima atafute sehem bana Tized usiwe na wasi wasi mkuu sirudi tena japo roho inaniuma aise

ha ha ha hutarudia zawadi zako kweli?
ile big house na mkoko unamwachia?
 
Last edited by a moderator:
1. Kigogo anayebembeleza penzi la Rapunzel umemsahau kabisa?

Inasemekana ni kaka wa damu wa Kongosho!
Kaizer KakaKiiza Vin Diesel watu8 Nicas Mtei na Paw wahusishwa na tycoon huyo!
mwekundu ajitetea kusema, ingekuwa ni safari za Dar-Moro, Dar-Moshi basi angehusika maana hajawahi kutoka nje ya nchi hii.

Mwalimu snowhite alionekana chobingo akimchombeza walau awe mchepuko!!!

2. Heaven on Earth sawa kuwa jimbo huru. Nafasi za kutuma maombi zitatangazwa hivi punde

3. C6 alias Joe Nyandigira atokwa jasho kutaka kulivunja penzi thabiti la mwallu na Mentor. Akumbana na mtihani mgumu. Ni baada ya kugundua hawakufahamiana JF pekee.

4. masai dada sasa ndiye miss JF 2014/2015. Apita bila ushindani. Msiulize shindano lilifanyika lini.

5. Asprin hati hati kuachwa na mchepuko wake @khatwe. Habari kamili ni siri ya mwandishi.

6. Mtambuzi sasa azidi kuzeeka. Hayo yalithibitika hivi majuzi baada ya kulala chumba kimoja na mrembo (air hostess wa kampuni kubwa ya ndege) wa Kikenya bila kufanikiwa kumgusa hata upindo wa vazi lake.

7. 7 5 mm ataka kurusha ndoano kwa snowhite. Habari kamili, toleo lijalo.

8. ...

ha ha ha ha.... huyu REPunzel huyu.. aisee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom