Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Hahahhaaaaaa... kibuti kinafanyaje eti?.... hahahahaaaaaa...

Kaka unanionea aisee. ... Sijawahi kupigwa cha mbavu, hakuna mwenye ubavu huo. I know the trick.
Kupigwa cha mbavu kunahitaji juhudi ati... ukipigwa tu kirahisi rahisi ujue bado wewe nyani kijana hujakwepa mishale ya kutosha.

kiwatengu sirudi bana namwachia Tized aendelee na mambo hapo na yeye aondoe gundu lake alilo nalo maana yeye kila siku kibuti tuu kinatembea
 

We si unaendaga kulilia bafuni kikishalia huku
Mwanaume kukubali kibuti ni noma na yahitaji ujasiri haswa aise
Ndo maana wewe Tized huwa unaenda kulilia bafuni machozi yasiojnekane na walimwengu wakasema neno
 
Last edited by a moderator:
6. Mtambuzi sasa azidi kuzeeka. Hayo yalithibitika hivi majuzi baada ya kulala chumba kimoja na mrembo (air hostess wa kampuni kubwa ya ndege) wa Kikenya bila kufanikiwa kumgusa hata upindo wa vazi lake.

Kaka mdogo huu utani unaofanana na ukweli siyo mzuri aisee, ungeniuliza kbla ya kuandika hii makitu kuna watu wanajua hii skendo lakini walikuwa hawamjui mhusika sasa umeweka kila kitu peupe naomba u edit ili kunisitiri na hiyo aibu.

Asisome Paloma na sister
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa... nilie kwani ni MSIBA kaka, utamliliaje mtu alie hai... hahahhahaaaa
MWANAUME HALIAGI ikibidi unauma tu meno baasi.

Ukikipigwa bila kutarajia ..inabidi uwe mpole uombe ipasavyo..... akikubali tu... UNAMPIGA CHA MBAVU with immediate EFFECT..chezea men's EGO nini? na ukishasikia harufu tu ya kibuti ..unamuwahi kukishusha fastaaaaaaaaaaa.

We si unaendaga kulilia bafuni kikishalia huku
Mwanaume kukubali kibuti ni noma na yahitaji ujasiri haswa aise
Ndo maana wewe Tized huwa unaenda kulilia bafuni machozi yasiojnekane na walimwengu wakasema neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…