Hahahahaaaa... nilie kwani ni MSIBA kaka, utamliliaje mtu alie hai... hahahhahaaaa
MWANAUME HALIAGI ikibidi unauma tu meno baasi.
Ukikipigwa bila kutarajia ..inabidi uwe mpole uombe ipasavyo..... akikubali tu... UNAMPIGA CHA MBAVU with immediate EFFECT..chezea men's EGO nini? na ukishasikia harufu tu ya kibuti ..unamuwahi kukishusha fastaaaaaaaaaaa.
hahahahah
haya mkuu men's ego ni mbaya sana na ndio inatufanya kuw ana kiburi muda wote
Kujiona tupo sahihi muda wote hata pale tunapoenda au kufanya wrong always tunajiona tupo sahihi
Mkuu changamkia fursa hiyo ais e
Naona leo umekuwa mpoooleee!!!
OMG Mamndenyi toka lini ukamuona mwanaume anakuwa mpole
Ushawahi kumuona mwanaume anakiri kuwa amefumaniwa hata akikutwa mtupu na mwanamke kitandani anasema nilikuwa namfanyia massage na sio sex
hapa hakunaga cha upole ni mwendo mdundo na niko na miss chagga nampenda sana
Last edited by a moderator: