Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone

Arusha Juu daima

BTW Nalimiss sana jukwaa letu

I miss you too jaman
 
Last edited by a moderator:

vipi mkuu, umeadimika sana, rudi aisee..niliambiwa uko Vienna Austria. vipi hali huko?
 
Last edited by a moderator:
vipi mkuu, umeadimika sana, rudi aisee..niliambiwa uko Vienna Austria. vipi hali huko?
Nilisharudi mkuu.....niko zangu Ngarenaro kama kawaida naenjoy penzi la Chocs wangu tu sina jingine...!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah duuuh....mi silazimishi ndugu mwandishi nawakumbusha wajibu tu

hivi huyu mtoto me naweza kumkimbia kweli? mwandishi amedanganya hapo ila.... anachelewa sana huko shuleni nahisi anatakiwa kuja walau likizo aje kumwona mumewe!

mama mkwe lifanyie kazi hilo.
 
Back
Top Bottom