Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nayo ndoa ama ndoana...........? ukistaajabu ya flora mbasha utayaona ya mwallu na Mentor
hebu mtuache tulale na bebito wangu charminglady leo anaifanyia usafi bunduki yangu imeanza kupata kutu
hii nayo ndoa ama ndoana...........? ukistaajabu ya flora mbasha utayaona ya mwallu na Mentor
hebu mtuache tulale na bebito wangu charminglady leo anaifanyia usafi bunduki yangu imeanza kupata kutu
Noooo servant of God....
Ok ......!!!!!!
kwani shost ushamuweka kwenye jumba la watawa nini mbona simwoni mtaani.....
hivi huyu mtoto me naweza kumkimbia kweli? mwandishi amedanganya hapo ila.... anachelewa sana huko shuleni nahisi anatakiwa kuja walau likizo aje kumwona mumewe!
mama mkwe lifanyie kazi hilo.
kamoo mama'ke mimi!
Watawa wanaolewa?
kamoo mama'ke mimi!
hapana si anatulizwa kwa mda kusubiri kaupepo katulie huku mtaani...
Bado hujajibu nilichokuuliza!
Hivi umeshabatizwa?
Unadhani nina haja ya kutuliza chochote?
Sina haja hiyo kwasababu sina sababu ya kuficha wala kuituliza chochote!
Marhabaa bint yangu mimi...sijanywa chai ujue hebu cheki eateli mane ya mkwe huko