Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Mkuu kiwatengu asante sana kwa gazeti, nami nimeshajipatia kopi yangu matata apa.

Toleo lijalo usisau MTOSO aliopigwa shemeji yangu Ntuzu na yule miss wa kichagga baada ya Mr Rocky kuhonga sana mashemeji (hizi bado ni fununu, nafuatilia kwa ukaribu nipate ukweli wake). kwa kuwa nasikia na wewe ni sehemu ya mashemeji sitegemei uzito wa kutosha kwenye huu mnyetisho.

Kuna habari nyingi SISIMSHI sana za akina sungura1980, Mentor, Karucee (huyu nakudokeza tu.. shemeji yetu kampiga ban kuja jukwaani.. more to come), lara 1 kuonekana sana akikatiza sana barabara ya Tabata, hashindi tena kwa lile li-botique lake pale nanii... (more details to follow) Kasinde kaonekana feri akinunua samaki jana akiwa amejitanda baibui na mawani meuzi.. ila watoto wa mjini tumemshtukia. Pia vimbwanga vilivyotokea kwenye BD party ya kabanga na muuza ubuyu etc.

Nitakupelekea maelezo zaidi PM.
 
Last edited by a moderator:
Si unajua nilivyo kimoja tena... sitakiwi nipate mwenye mifupa kama mimi... hebu nitumie picha yake nimtathimini!!
Ntuzu usiogope kaka, Huwa nina intervie tano kabla ya kukonfem. so haina neno
Utauweza tuu mkuu Tized hauna hata matatizo tena una nyama nyama haitakuwa ngumu kwako kuula
 
Last edited by a moderator:
Si unajua nilivyo kimoja tena... sitakiwi nipate mwenye mifupa kama mimi... hebu nitumie picha yake nimtathimini!!
Ntuzu usiogope kaka, Huwa nina intervie tano kabla ya kukonfem. so haina neno


Kua makini Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom