Kwani sina haki ya kuwa na mke?
Aisee unaonekana unamfuatilia pacha wangu kwa karibu sana....unakumbuka bday ya mwaka jana...!
Hee kumbe unapenda??
Kwanini nisipende?
Papa atakufire, ukigundulika...
kiwatengu Nicas Mtei yuko busy kijacho karibia akuje ulimwenguni
kiwatengu Nicas Mtei yuko busy kijacho karibia akuje ulimwenguni
Mmh akuje tu maana tumesubiri mpaka tunakaribia kuzeeka lol
Kwanini nisipende?
ni cha kwake?
nakumbuka mwaka jana..
utatafuta kanisa lako.
Nitabaki na hili hili na Vale namuoa!