Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

9. snowhite sasa ahaha kutafuta timu mpya! Ni baada ya zote alizokuwa akishabikia kutolewa. Ushauri wahitajika Cc: EMT agosti 8 , RRONDO et al

Huyo snowhite nilimwambia tokea ofisini kuwa awe makini na timu anazochagua kushabikia maana inawezafika robo fainali hana timu.

Mie nilimwambia Belgium itafika mbali akanishushua.

Ona sasa leo ni woldi cap resti dei yeye amebaki kumshangia Tim Howard kwa save 15 alizofanya na kuukataa ukweli kuwa actually alishindwa kufanya save mbili.

What a wold cap resti dei she is having.
 
Mi nasoma tu mchezo unavyokwenda

Halafu mkumkbuke kuja kutoa zaka eboooooo!!
 
umeisoma nukuu yake hapo juu.?. .
Hiyo nimeisoma nilimuliza nini kinaendelea charty alijibu kaamua kumridhisha tu,kuepusha asijipige kamba maana jamaa alisema akitoswa atajinyonga.
Na mimi bila hiyana nilimruhusu amfanye Rich Pol zuzu!!
 
Last edited by a moderator:
we mkali unakula zaka + wanaotoa zaka!!

Bible inasema mtakula mema ya nchi si ndo hayo jaman....pia inasema kila mtu atakula madhabahuni pake...hivo kama we madhabahu yako hailiki ulie tu na makamera yako mgongoni teh teh.....
 
Back
Top Bottom