kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #201
mwallu, kiwatengu, mwekundu, Honey Faith, Khantwe, Mentor, Ntuzu, mwallu, Tized, Mndengereko mbona maneno yamewazidi
Mimi kupendwa na miss chagga mara kahonga sana mara kafanywa ATM mara mchepuko mara #teambazazi mara kawekewa limbwata mara sijui kafa kaoza mara hajielewi mbona maneno mengi
Mimi na miss chagga tunapendana hatuna limbwata wala mchepuko ni mapenzi ya dhati tuu miss chagga anapewa hela ya salon tuu na kupendeza na hanichuni wala nini
Na mwekundu mimi sio #teambazazi bana ni mtulivu sana na hii kuchepuka imeruhusiwa mpaka na mke wangu halisi Dena Amsi
utaitwa mchepuko mkuu.
sub ofice
Last edited by a moderator: