Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

mwallu, kiwatengu, mwekundu, Honey Faith, Khantwe, Mentor, Ntuzu, mwallu, Tized, Mndengereko mbona maneno yamewazidi
Mimi kupendwa na miss chagga mara kahonga sana mara kafanywa ATM mara mchepuko mara #teambazazi mara kawekewa limbwata mara sijui kafa kaoza mara hajielewi mbona maneno mengi
Mimi na miss chagga tunapendana hatuna limbwata wala mchepuko ni mapenzi ya dhati tuu miss chagga anapewa hela ya salon tuu na kupendeza na hanichuni wala nini
Na mwekundu mimi sio #teambazazi bana ni mtulivu sana na hii kuchepuka imeruhusiwa mpaka na mke wangu halisi Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo unachepukia kwa miss chaga?....kweli ulozi upo
 
Last edited by a moderator:
Asante nmeshapata nakala yangu....ila ndugu mwandishi naona hujazimgatia onyo nlilokupa. Ndoa ya mwanangu janeth1 ikivunjika ndo utafurahi?

Mom huyu mwandishi ana lake jambo, namwambia hivi ndoa yangu haivunjiki ng'ooo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom