Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntuzu kitenesi at work...
kamrukia miss neddy, sasa hivi kitenesi kimerukia kwa Khantwe baaada ya kutoka kwa ladyfurahia
afu nahisi alimloga jamaa amechange gafla bin vuu...
Achana nae huyo dada yng! Hafugigi huyo kunguru!
Achana nae huyo dada yng! Hafugigi huyo kunguru!
hivi umeloga ama?
nitakutupia ndumba likupate unigande kama ruba
afu nahisi alimloga jamaa amechange gafla bin vuu...
hahaha umemnyima noti eeeeh
nitakutupia ndumba likupate unigande kama ruba
hahaha umemnyima noti eeeeh
Ha ha ha mweke kwenye kichupa ...kabisaaa
eti unasikia tu usiku yani leo nimeingiza bank milion 10... najikomba komba mpenzi Ntuzu wangu naomba milion tano oooh ziache zikae bank ndio jibu lake nani kasema hela inakaa bank .... mwambie huyo kaka yako pesa matumizi ..... akakae na wasiojua matumizi kama yeye.