daah.. adimu wewe mambo niaje?
Bantu lady yuko poa?
Kwenye hili mie nabaki mtazamaji tu
Hahahaaa..kweli..au conflict of interest
Hahaaaa nipo mkuu,laazizi wangu Bantu lady hajambo
Okoa kwanza roho yako mwili haufai kitu....lol
Paroko damu yangu nzito kuliko maji