Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Last edited by a moderator:
Hahahhaaaaa.... Mkuu ngoja tu nikae chonjo niangalie huu mtanange.

Tized uwe na amani hakuna kipya chini ya jua hili kila kitu kilikuwepo na kitaendelea kuwepo
Kumpenda miss chagga na yeye kujielewa kuwa ni nyumba ndogo hakuna kipya anajua kuwa Dena Amsi yupo na ni ni mke halali na mkubwa sasa yeye anajielewa kuwa hapa anaiba
Wakati ukifika anaweza panda cheo kuwa nyumba kubwa kwa hiyo Ntuzu asitarajie chochote aendelee kuwa na huyo Khantwe wake mwallu hujambo wewe msalimie kaka yako Ntuzu
 
qudadadeq.....sitobanduka ubavuni kwa Ntuzu maana miss chagga si mtu salama tena

ha ha ha haha ukome nitamchukua ujue wewe... Ntuzu nakuja weekend kuchukua underware zangu na mafuta yangu... alfu ile kanga yangu i hope uendelei kuogea .... chanuo langu kama kuna mtu katumia naomba usafishe au nunu jipya kabisa..... ile saa niliyokupa ile siku ya kuzaliwa kwako nimekuachia tu...
 
Pliz pliz miss chagga...chukua vyote uniachie my Ntuzu jamani..
Cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom