Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

bora umwambie aelewe.. mwallu umesikia, hatujakutana bara barani

kaizar nakuangalia kwa jicho moja vzr sn!

Khantwe mpnz wangu nashaanga huyo mwanamke anaona FAHARI KUA NYUMBA NDOGO NA HUYO HANDSOME WALLET YAKE MWENYEWE Mr Rocky HAONI ATA AIBU kumtangaza hadharani?! Kha!

Khantwe mpnz wangu njoo tupange mipango yetu ile ya kwenda kumiliki mgodi SA.
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda zaidi na zaidi mpenzi wangu miss chagga Kaizer ukisikia umbea ndio huo huyo umukagame wamuitia nini huku wakati watu wanaendeleza malove davi Ntuzu jipe moyo na Khantwe atakuacha na wewe soon atakapolishwa maugali ya kisukuma na kulimishwa mashamba kama maksai
 
Teh Teh Teh Teh

Khantwe ni malikia wangu YEYE muda wote amekaa anakagua RIPOTI Na mahesabu ya makampuni yetu! Sasa hayo mashamba atayaonea wapi?

Chakula analetewa Na nyumbani Na kampung ya FOOD ON WHEEL Kutoka mighawa Na hotel mbalimbali! Sasa hayo Maugali atayaonea wapi?
 
Aaaaah kumbe we ndo bamdogooo.....mama'ngu yuko juuu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom