Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Kuanzia leo wewe ni adui yangu namba1 baada ya kuushinda ujinga, maradhi na umaskini.
Thus; ama zangu ama zako. Over

ishakuwa noma sasa.
kaka mkubwa. punguza hasira.
mwanamke asitugombanishe, tumetoka mbali mkubwa.
 
Mkuu nimeona JAMBO jipya chini ya JUA.
kiwatengu ndoa yangu na Dena Amsi iko imara huyo miss chagga alitikisa tuqu kiberiti hapo akakuta kimejaa. Nampenda sana Dena Amsi bana huyo miss chagga ni mchepuko tuu aise
Cc Ntuzu, Tized, mwallu

Kaka kiwatengu ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Mr Rocky we mwaache tu... mapenzi kiti cha basi... Ntuzu we endelea tu kuvunja shingo.
aisee! yamekuwa haya tena?
kuna mambo utakumbushwa hapa na Tized pamoja na Ntuzu,
binafsi nilijua lazma urudi kulidai penzi la dena
kwa nguvu zote!!

ikumbukwe ulikaribia kumgawa.

Yamekua hayo tena? miss chagga sema NENO na nafsi yangu itapona. Ila ya Ntuzu sijui itakuaje.
kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga.
Kasinde mamito Tized is here waiting.... Only worrying namna ya kukunasua kwangu... maana GLUE yangu sio mchezo... am just strategizing on how to unglue you... Bodaboda man isnt a joke oooh!!! Ila mrejesho to JF ni marufuku usije njazia ma PM buuureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!

Hhahahahahaa wee mhariri wa gazeti hili naona unataka kunifanya niwe supastaa wa jf, kwani kunitoa mara ya pili sasa wakati udaku umejaa tele.
Kwa udaku huu kuhusu Kasinde si kweli bana sijagawa papuchi yangu priceless, I did it with Sean and it was a fair game, we both enjoy!! He was smooth and gentle u know...

Hhahahahahaaa don't trust Tized that bodaboda man with helmet on his head he want to crush with Kasinde, well nikirudi we'll see about that and mrejesho atauleta yeye mwenyewe Tized looh
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeona JAMBO jipya chini ya JUA.

Kaka kiwatengu ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Mr Rocky we mwaache tu... mapenzi kiti cha basi... Ntuzu we endelea tu kuvunja shingo.

Yamekua hayo tena? miss chagga sema NENO na nafsi yangu itapona. Ila ya Ntuzu sijui itakuaje.

Kasinde mamito Tized is here waiting.... Only worrying namna ya kukunasua kwangu... maana GLUE yangu sio mchezo... am just strategizing on how to unglue you... Bodaboda man isnt a joke oooh!!! Ila mrejesho to JF ni marufuku usije njazia ma PM buuureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!

Aisee yan nikisikia jina la Ntuzu limehusishwa na miss chagga roho inatamani kutoka
 
Last edited by a moderator:
Kasinde mamito Tized is here waiting.... Only worrying namna ya kukunasua kwangu... maana GLUE yangu sio mchezo... am just strategizing on how to unglue you... Bodaboda man isnt a joke oooh!!! Ila mrejesho to JF ni marufuku usije njazia ma PM buuureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!

hahahahhaa Tized, u r inviting me looh!! utanifanya nirudi Dar kabla vacation yangu haijaisha looh!!! Un glue me from u.... after the crush.....??? Unanifanya niingie msituni maana sitakubali kushindwa game, Kasinde is a silly girl hutakaa uamini, wacha nijikoki kuanzia sasa kisha u will be the one unajifikiria ntajinasuaje kwa Kasinde coz she is soo hot and sweet...
 
Tized uwe na amani hakuna kipya chini ya jua hili kila kitu kilikuwepo na kitaendelea kuwepo
Kumpenda miss chagga na yeye kujielewa kuwa ni nyumba ndogo hakuna kipya anajua kuwa Dena Amsi yupo na ni ni mke halali na mkubwa sasa yeye anajielewa kuwa hapa anaiba
Wakati ukifika anaweza panda cheo kuwa nyumba kubwa kwa hiyo Ntuzu asitarajie chochote aendelee kuwa na huyo Khantwe wake mwallu hujambo wewe msalimie kaka yako Ntuzu
 
Nishaamini ulozi upo hakyamama
 
Hata bila ushauri huu asingerudi kamwe
 
Duh kumbe missChagga ni bi mdogo?Makubwaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Honey Faith kipi usichoelewa hapo yaani ina maana hata picha huoni aise

Bora asirudi kabisa miss chagga hapa ametulia kabisa hana wasi wasi na hana shida na huyo Ntuzu wako

mwallu dah ulozi hakuna bana ni kawaida tuu

Hata Ngosha wangu hapa hana shida na huo mchepuko wako hata kidogo....ametulizwa akatulia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom