Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga.

Mwe.mwe mwe aya bwana siyo kwamba sifai we ni bahili hutoi hela mi mapenzi na njaa siwezi siwezi ila sikuachi kabisa .... nitakuganda mpaka.ukome.... alafu mi sitongozi natongozwa kwa hiyo wapo kwenye mchuko ... acha maneno mengi bwana Mr rocky i love u sana:-\T_T@_@ jamani mimi
 
Last edited by a moderator:
5. Kwa Obama(USA) kwazidi kumchanganya Kasinde,
ajikuta akigawa utamu "priceless" usiku kucha.
mwenyewe asingizia kinywaji na umahiri wa mlaji.
mkuu Tized naye aonekana akiomba round,pindi atakapotia team bongo.
"in a crash anything can happen".

Hhahahahahaa wee mhariri wa gazeti hili naona unataka kunifanya niwe supastaa wa jf, kwani kunitoa mara ya pili sasa wakati udaku umejaa tele.
Kwa udaku huu kuhusu Kasinde si kweli bana sijagawa papuchi yangu priceless, I did it with Sean and it was a fair game, we both enjoy!! He was smooth and gentle u know...

Hhahahahahaaa don't trust Tized that bodaboda man with helmet on his head he want to crush with Kasinde, well nikirudi we'll see about that and mrejesho atauleta yeye mwenyewe Tized looh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom