kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga.
kiwatengu ndoa yangu na Dena Amsi iko imara huyo miss chagga alitikisa tuqu kiberiti hapo akakuta kimejaa. Nampenda sana Dena Amsi bana huyo miss chagga ni mchepuko tuu aise
Cc Ntuzu, Tized, mwallu
dawa ya mzazi kama wewe ni ndogo
mama! kumbe wewe unaangalia kujaliwa tu?
na siyo upendo kwa mwanao?
thank you. treat her well!!
Dawa gani unayoijua wewe kuwashinda wakwe zangu
kiwatengu ndoa yangu na Dena Amsi iko imara huyo miss chagga alitikisa tuqu kiberiti hapo akakuta kimejaa. Nampenda sana Dena Amsi bana huyo miss chagga ni mchepuko tuu aise
Cc Ntuzu, Tized, mwallu
kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga.
Eti kaka nasikia umeoa mbona haujanitambulisha kwa wifi yangu? Ntuzu