Mbona kama sielewi nimebaki njia panda jamani?Kuna nini hapa? kiwatengu
mnaweza kupendana huku unachepuka?
Mr Rocky wangu jamani nakupenda usiwasikilize wao si unajua mimi siwatongozi wananifuata wenyewe wanataka akaka zao wanioe mimi nifanyaje ila nimekataa usiwasikilize Honey Faith, kiwatengu na huyu Ntuzu anayetema sumu ya nyoka machoni mwako ili upofuke usinione acha kabisa moyo wangu upo kwako.... waswahili wanasema mti uwenye matunda ndio unaorushiwa mawe... wewe nenda kwa huyo mkeo asiwe kuwa na matunda ndio maana arushiwi mawe.... onyo Ntuzu anajua alivyokuwa ananifaidi ndio maana kakupigia debe weeee ili uniache na we unataka mpa hiyo nafasi ya ushindi...
Ntuzu NAKUTANGAZIA KUANZIA LEO SUMU ZAKO PMPELEKEE DADA YAKO Honey Faith ... TENA USHINDWE PEPO LA UCHONGANISHI NIACHE NA Mr Rocky TUFAIDI TENA UTUACHE... MDOMO WAKO UMEJAA SUMU UKIWA UNAPEWA SAPOTI KUTOKA KWA kiwatengu KWA KUJIFANYA KUANDIKA HABARI ,,...
Mr Rocky wangu barafu wa moyo wangu nisemeje mie mtot wa mwenzio nimeganda hapa vimebaki vidole tu kwa ajili kukuandikia ujumbe huu .... eeeh Mungu mnusuru mpenzi wangu n sumu hizi asije jutia badae... hajui nilivyo mzuri kwake.... mioyo yetu inagongana tunapendana lakini kimwili hataki igongane ni nini hiki...

We mwanamke marufuku kutajataja jina la mume wangu
miss chagga nakusikiliza wewe useme tuu maana wambea akina kiwatengu, Ntuzu na mwenzao mwallu wanakusikilizaKwa kuwa umesema hivyo nahakikisha nakuwa mke wa pili... usichezee moyo wangu
Bado nipo nae sikubali .
miss chagga sitoi pesa wakati nimekuachia ATM na cheque book zangu zote unazishikilia na bado unaona mi mbahili aise hii si haki kabisa Ntuzu alikuwa anakupa nini zaidi ya kukulisha ugali wa mtamaMwe.mwe mwe aya bwana siyo kwamba sifai we ni bahili hutoi hela mi mapenzi na njaa siwezi siwezi ila sikuachi kabisa .... nitakuganda mpaka.ukome.... alafu mi sitongozi natongozwa kwa hiyo wapo kwenye mchuko ... acha maneno mengi bwana Mr rocky i love u sana:-\T_T@_@ jamani mimi
mwekundu nishaacha bana nimeamua kutulia na kuwa kwenye #teamrafikihapo penye Red jasiri haachi asili
mnaweza kupendana huku unachepuka?
this is another big news in town.
see you on the coming edition....
1. Baada ya mwenyekiti lara 1 wa chama cha "NO FREE P" kujiuzulu na kuamua kolewa na mbabu Matola sasa chama chapata viongozi wapya. Mwenyekiti wake awa miss chagga huku akisaidiwa kwa ukaribu na umukagame. badiebey bado yupo kwenye recruitment stage.
2. Tukisalia hapo kwa badiebey, ambapo usajili wake kwenye chama hicho unasitasita baada ya kutangaziwa dau la ndoa na Zekidon. Kaka inabidi ujipange..nilijaribu tu kuchungulia PM yake...wakware ni wengi kuliko unavyodhani. Tetesi zinasema kuna kigogo mmoja kajitolea kumpeleka Bagamoyo wikiendi hii.
3. Mamndenyi ahaha kuusaka usingizi. Ni baada ya vijana kuonesha kutosumbuliwa na fedha zake. Ama kweli umri ukikutupa...
4. Imebainika kazi aifanyayo benteke ni fundi viatu mitaa ya mwenge. Hii ni baada ya uchunguzi wa kiintelijensia. NB: Bado asisitiza licha ya kazi hiyo, game yake ipo juu!
5. Imegundulika!!! Yule aliyekuwa akimbembeleza Rapunzel ni mume wa watoto wawili. Tetesi za kuaminika zinamhusisha zaidi Invisible (msiulize)
6. SERIOUS: Waalimu ambao hamjapata mishahara yenu...fuatilieni Utumishi kujua mustakabali wenu. Imegundulika ni kwa kuwa system imegonganisha majina. Vyeti vyenu vinatumika sehemu nyingine.
7. Baada ya maisha kumshinda, Honey Faith sasa ahaha kusaka kazi emirates! (wasifu: she is 4'' tall..ama tuseme short?lol)
8. Kasinde sasa ahaha kusaka wanachama katika chama lake lipya, linaitwa..."P for Fun." Kutaka kujiunga tafadhali kinadada mnitumie PM kwa maelekezo.
9. snowhite sasa ahaha kutafuta timu mpya! Ni baada ya zote alizokuwa akishabikia kutolewa. Ushauri wahitajika Cc: EMT agosti 8 , RRONDO et al
10. Munkari alikumbuka penzi la Mshinga...ahaha kumtafuta kila mahali! Uzi wake kufukunyua mengi...
11. Asprin ahaha kutafuta mbadala wa Khantwe. Yaonesha makali yake yaelekea kupungua.
12. Kaizer afichwa kusikojulikana. Asakwa kila mahali. Yasemekana amefichwa na mwanamama mmoja huko Kibaigwa.
13. Lenin v.i atishia kumloga miss neddy. Ni baada ya kuzungushwa sana tongozo lake.
14. Inasemekana yule 'samaki mwenye mengi ya kusema, ila mdomoni ana maji' a.k.a. BAK aanza kurusha ndoano kwa mlimbwende mmoja wa hapa JF. Aomba jina lake lisitajwe...
15. Mr Rocky ahaha kujisafisha kutoka kwenye lile litimu ambalo kila mtu ni member na kila mtu si member a.k.a #teamB. Ni baada ya kukiri kuwa 'alichepuka kidogo'. Kuchepuka kwake kumekuwa kwa mara kwa mara.
16. ...
16.
Mr Rocky usiwasikilize wambea hao... nakupenda sana Mr Rocky wangu moyo wangu mimi leo nitaridhikamiss chagga nakusikiliza wewe useme tuu maana wambea akina kiwatengu, Ntuzu na mwenzao mwallu wanakusikiliza
Hahahahahah kaka mkubwa wacha zako bana
miss chagga sitoi pesa wakati nimekuachia ATM na cheque book zangu zote unazishikilia na bado unaona mi mbahili aise hii si haki kabisa Ntuzu alikuwa anakupa nini zaidi ya kukulisha ugali wa mtama
Hebu kuja chemba tuongee deal la kuuza kiwanda cha samaki mwanza na kusafirisha mapanki kuyapeleka dodoma
hapa naona mchele mchele sina uhakika mkuu Ntuzu kama napigwa changa la macho au ni halali
mwekundu nishaacha bana nimeamua kutulia na kuwa kwenye #teamrafiki
Mhhh sasa hapa unanil;azimisha kukupenda au unalazimisha nikupende miss chagga
Acha umbea bana kiwatengu
Hebu nijaribu kusema kwa sauti ndogo hapa nakupenda miss chagga ila jua kuwa nyumba kubwa yangu Dena Amsi iko inakuangalia kwa macho yote
1. Baada ya mwenyekiti lara 1 wa chama cha "NO FREE P" kujiuzulu na kuamua kolewa na mbabu Matola sasa chama chapata viongozi wapya. Mwenyekiti wake awa miss chagga huku akisaidiwa kwa ukaribu na umukagame. badiebey bado yupo kwenye recruitment stage.
2. Tukisalia hapo kwa badiebey, ambapo usajili wake kwenye chama hicho unasitasita baada ya kutangaziwa dau la ndoa na Zekidon. Kaka inabidi ujipange..nilijaribu tu kuchungulia PM yake...wakware ni wengi kuliko unavyodhani. Tetesi zinasema kuna kigogo mmoja kajitolea kumpeleka Bagamoyo wikiendi hii.
3. Mamndenyi ahaha kuusaka usingizi. Ni baada ya vijana kuonesha kutosumbuliwa na fedha zake. Ama kweli umri ukikutupa...
4. Imebainika kazi aifanyayo benteke ni fundi viatu mitaa ya mwenge. Hii ni baada ya uchunguzi wa kiintelijensia. NB: Bado asisitiza licha ya kazi hiyo, game yake ipo juu!
5. Imegundulika!!! Yule aliyekuwa akimbembeleza Rapunzel ni mume wa watoto wawili. Tetesi za kuaminika zinamhusisha zaidi Invisible (msiulize)
6. SERIOUS: Waalimu ambao hamjapata mishahara yenu...fuatilieni Utumishi kujua mustakabali wenu. Imegundulika ni kwa kuwa system imegonganisha majina. Vyeti vyenu vinatumika sehemu nyingine.
7. Baada ya maisha kumshinda, Honey Faith sasa ahaha kusaka kazi emirates! (wasifu: she is 4'' tall..ama tuseme short?lol)
8. Kasinde sasa ahaha kusaka wanachama katika chama lake lipya, linaitwa..."P for Fun." Kutaka kujiunga tafadhali kinadada mnitumie PM kwa maelekezo.
9. snowhite sasa ahaha kutafuta timu mpya! Ni baada ya zote alizokuwa akishabikia kutolewa. Ushauri wahitajika Cc: EMT agosti 8 , RRONDO et al
10. Munkari alikumbuka penzi la Mshinga...ahaha kumtafuta kila mahali! Uzi wake kufukunyua mengi...
11. Asprin ahaha kutafuta mbadala wa Khantwe. Yaonesha makali yake yaelekea kupungua.
12. Kaizer afichwa kusikojulikana. Asakwa kila mahali. Yasemekana amefichwa na mwanamama mmoja huko Kibaigwa.
13. Lenin v.i atishia kumloga miss neddy. Ni baada ya kuzungushwa sana tongozo lake.
14. Inasemekana yule 'samaki mwenye mengi ya kusema, ila mdomoni ana maji' a.k.a. BAK aanza kurusha ndoano kwa mlimbwende mmoja wa hapa JF. Aomba jina lake lisitajwe...
15. Mr Rocky ahaha kujisafisha kutoka kwenye lile litimu ambalo kila mtu ni member na kila mtu si member a.k.a #teamB. Ni baada ya kukiri kuwa 'alichepuka kidogo'. Kuchepuka kwake kumekuwa kwa mara kwa mara.
16. ...
16.
hahahahahahahaa daaah naona mmeniamulia MMU looh, P for fun that sound good to me, and u do u screw for fun or for reproduction or for reducing stress or...