shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
hahaah nilijua tu yatakushinda chezea msorobobo weyeVyoteee....inategemea na wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaah nilijua tu yatakushinda chezea msorobobo weyeVyoteee....inategemea na wakati
yangu macho anyakuliwi mtu hapantavyokunyakua mithili ya mwewe anyakuavyo kifaranga
itakuwa hivyo maana mi sina habarialikuja kweli au alikuwa anajitwika mijisifa tu?
anachonipa hakielezeki hadharani siri yangu
hehehe poaNipo my dia,hua naishia kuchabo tu
hahaah nilijua tu yatakushinda chezea msorobobo weye
jamani me nipo sema tu hatuonani...
kwanini hatuonani....?
itakuwa hatuna macho ndomana hatuonani....
shem mambo?
itakuwa hatuna macho ndomana hatuonani....
hujambo lakini.....?
safi shem, mzima wewe?
siku nyingi sijapata pm yako.. fanya mambo sasa..
Miss you....
Unanipa kesi Shem.....
kwa nani?
kwa mtwasi wako...
Eti...???