Hana shida yule namfahamu..
mmmh:cool2::cool2::cool2::cool2:hamna kitu kama hicho..
jamani me nipo sema tu hatuonani...
mic you
Miss you....
uko mbioni kuchinjwa we jipitishe tu jirani na mme wangu ana hasira na wewe ujue.
afu mbona unajifanya huniwazi kabisa?
uko mbioni kuchinjwa we jipitishe tu jirani na mme wangu ana hasira na wewe ujue.
Kwema shemeji yangu wewe?
twende kule kule kwa jana.