Udaku Special, 4th Edition: Critical

Nashukuru bwana mwandishi hukuniona this time, nimesikia tetesi umepokea bahasha ya khaki toka kwa mume wa mchepuko wangu Khantwe ili unichafue toleo lijalo, najiandaa kupigania status yangu kwa gharama yoyote ile
 
Last edited by a moderator:
shost ushachepukwa mara hi majanga, mumeo alibanwa jiandae kukusanya watoto wa wenzio...

Wala mume wangu sio mchepukaji...wanambambikia tu. Afu ujue nimemtengeneza!
 
Nashukuru bwana mwandishi hukuniona this time, nimesikia tetesi umepokea bahasha ya khaki toka kwa mume wa mchepuko wangu Khantwe ili unichafue toleo lijalo, najiandaa kupigania status yangu kwa gharama yoyote ile

Sheemeeejiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…