Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiwatengu, ah rijalida limesheni ....
11. kan'tangaze ahusishwa na kumhujumu Mentor siku ya birthday.
Amfyonza hadi Nauli!! M Pesa toka kwa mwallu yaokoa jahazi.
Kidogo apige mbizi kurejea Kigamboni.
shost ushachepukwa mara hi majanga, mumeo alibanwa jiandae kukusanya watoto wa wenzio...
hadi huku mkuu?
dogo hujambo! Dady karudi toka safari?
Ufisadi mkubwa
mi mzima
kan'tangaze anaishi wapi? Nina neno nae
Nashukuru bwana mwandishi hukuniona this time, nimesikia tetesi umepokea bahasha ya khaki toka kwa mume wa mchepuko wangu Khantwe ili unichafue toleo lijalo, najiandaa kupigania status yangu kwa gharama yoyote ile
Tupeane ana kwa ana ......au?
We nipe tu hapa hapa hamna shida.nikiona mazito s ntaomba poo