Udaku Special, 4th Edition: Critical

Aaaagh dada.utataka mtu ajinyonge na bubble gum hapa.nampa moyo tu maana kalalamika sanaaaaa.sio shemej yangu huyo.shem yuko on thread

jibu zuri Sana Hilo shem wangu, ili hicho kibabu cha mchepuko kisije jifia bure nikaambiwa nimeharakisha safari yake, wacha nisubiri maana kibabu kimebakiza siku chache Tu, imagine kababu kana 87 yrs lakini bado kana ngangania watoto wabichi kama my soap Khantwe
 
Last edited by a moderator:

Kwi Kwi Kwi Kwi. .Sheemeeejiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha lakini bado nitashikilia msimamo wangu mpaka kieleweke
 
Mkuu Mapi nasingiziwa tu hapa. Ila natibu ndoa, kurudisha mpenzi aliepotea, kushikizisha mwizi wa mkeo (lile tuko la Temeke ni moja ya kazi zangu) Natibu waliokosa maumbo ya namba nane, naongeza makalio na hipsi za kufa mtu, kusafisha nyota na kupandishwa vyeo..... Kumtoa M-PESA ndugu au mzazi au yeyote yule sina huo uwezo (kafara).

Bila kusahau tatizo sugu la nguvu za kiume... nina dawa toka Naijeria inamaliza tatizo kabisa (ni dawa ya mitishamba). Kama wahijaji tafadhani niPM.
Cc Ntuzu, Mentor, kiwatengu na Mr Rocky etc
Eli79 yupo kwa Tized au anamganga mwingine???
 
Last edited by a moderator:
Aaaagh dada.utataka mtu ajinyonge na bubble gum hapa.nampa moyo tu maana kalalamika sanaaaaa.sio shemej yangu huyo.shem yuko on thread

Mfariji wewe bas mi na wewe ni ndugu atii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…