First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Una nini nami ewe Eli79....yan unataka kula kuku na mayai?
???????
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una nini nami ewe Eli79....yan unataka kula kuku na mayai?
ungethubutu tu kuja kwangu.. ungekula bastola.
???????
Kulikoni mkwe
me naogopa kukuuliza naogopa kukuvunjia heshima..
Huyo anaedai ana ujauzito wa mume wangu Eiyer mwambie azidi kusugua gaga...lol
mengine ya ndani akitaka kusema atazungumza mwenyewe kiwatengu....
wife mambo?
miss chagga simuogopi anajua kabisa kuwa yeye ni mchepuko na naruhusiwa kuwa na michepuko mingine mradi haki zake atimiziweWewe unanipenda sana tu sema unakaogopa ka miss chagga
First Born ukizungumza haya uzungumze kimya kimya akija huyo Dena Amsi hapa hapatakalika kila mtu atatafuta njia ya kutokeahivi Dena Amsi amekuwa zezeta? amekuruhusu kabisa kumili michepuko kiasi cha kutamka hadharani kabisa?
Eee si wampenda?