Hahahah mku nmelijua hilo
hahahaaaaa una akili sana kuelewa mambo haraka
haaa unadhani utamtisha my husband?? uzuri ni kwamba anajiamini sanawe sema tu mambo..! wenzako twala vitam huku...
. romantic eyes niko nae hapa..
poa husband
Kwi Kwi Kwi Kwi. .Sheemeeejiiiiiiiiiii
hivi umekunywa chai sweetheart?
Yukon kwa romantic eyes
Yukon kwa romantic eyes
we mwanamke kuwa na adabu.. usitake kuleta shida kwenye ndoa yangu..
umeshindwa majukum ya nyumba yako e?