Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
miezi miwili? mie naona iwe miezi mitatu bana au unaonaje? hiyo apartment inafaa
Kuhusu gharama usiwe na hofu... unamjua dadi yangu Bishanga?
kae nae mbali kabisa.. usisahau kuniandalia ile kitu basi..
Ile tu, wala usijali manoah.... safari ikikaribia utaniambia basi ili nitafute na viwalo kabisa
Mrembo by Nature usijali mipango naikamilisha kamilisha twende tukapumzike kwa raha zetu.. kuhusu viwalo usijali sana
hehe viwalo itabidi twende mariedo
Dadi yangu sio mnokoo huyo atakua ni Baba V ... Dadi yangu ndio billionaire humu ndani sio kama wale matajiri wanaokufa mapema mapema
ok, usijali ukiwa tayari niambie twende...
ok, basi twende mie nipo hapa nakusubiri